RASI FM BLOGSPOT
inakuja hivi karibuni kwa lengo la kukuhabarisha wewe mkazi wa mikoa yote tanzania na hata nje ya mipaka yetu, hii ni kutokana na ukweli kuwa bado hatujaanza kusikika mikoa yote hivyo kwa kuwa tunachohitaji ni kila mtu kupata habari za kila mahali basi tumeona ni vema kwa njia hii pia tutawafikia ma mia kwa maelfu ya watu duniani kote.
Utapata Habari za matukio ya kitaifa na kimataifa, Habari za Michezo na burudani,vituko,picha za matukio ya kila aina,mithali na misemoandika"rasifmradiostation.blogspot.com"
hii yote ni kwa sababu tunawajali na kuwathamini watanzania,lakini pia ni maalumu kwa wale ambao kwa njia moja au nyingine hawaja pata kusikia habari na taarifa kutoka katika vipindi mbalimbali vya moja kwa moja redioni basi kupitia blog hii utaweza kurejea na kusoma kilichotokea katika maeneo mbali mbali na habari zote zinazotokea utazipata hapa hapa katika blog hii.
karibuni wadau na msisahau pia maoni na ushauri wenu ni muhimu katika sehemu iliyoandikwa coment hapo chini nasi tutayafanyia kazi ipasavyo.lakini pia kama una habari iliyo ya uhakika na inayozingatia maadili basi usisahau kututumia kupitia anuani ya "rasifmradiostation@gmail.com" nasi tutaipokea na kuifanyia kazi.
asanteni wadau wetu na imani yetu ni kwamba tupo pamoja kama tulivyoanza.
sawa rasi fm tumewaelewa Je mnahitaji Reporter kutokea Dar es salaam kama mko tayari tutafutane elisashunda@gmail.com/0719976633.
ReplyDelete