
Real madrid imeshindwa kutamba katika uwanja wake wa bernabeu baada ya kulazimishwa sare na mabingwa wa la liga msimu wa 2014/15 Atletico de madrid katika mchezo wa super cup uliomalizika hivi punde.
Real madrid ndio ilikuwa ya kwanza kupata bao dakika ya 81 kupitia kwa mshambuliaji wake mpya James Rodriguez lakini atletico kupitia kwa raul garcia dakika ya 88 kwa kumalizia kwa kichwa mpira wa kona na kumshinda iker casillas na kujaa kimiani.
madrid alikuwa nyumbani na hii itawalazimu kupata ushindi katika mechi ya marudiano itakayochezwa katika uwanja wa Vicente Calderón hivi karibuni.
vikosi vilikuwa hivi.
REAL MADRI.. Iker casillas, Sergio Ramos, Pepe, Marcelo, Daniel Carvajal, Xabi Alonso, L. modric, G. bale, T.kroos, Christiano Ronaldo, na Karim Benzema.chini ya kocha Carlo Ancellotia
ATLETICO MADRID:Mova, Miranda, Juanfran, Guilhelme Siqueire, Diego godin, Gabi, Mario Suarez,Raul Garcia, Saul, Koke, na Mario Mandzukik chini ya kocha Diego Simeone
No comments:
Post a Comment