Tuesday, 19 August 2014

TAZAMA TUKIO LA MOTO ULIOUNGUZA NYUMBA MOJA HUKO MAENEO YA IPAGALA MJINI DODOMA.

DODOMA
baadhi ya vitu vilivyonusurika kuungua na moto katika maeneo ya ipagala mkoani dodoma.

mwandishi wa rasi fm John Banda akifanya mahojiano na mama mwenye nyumba iliyoungua moto mkoani dodoma katika maeneo ya ipagala kusini maarufu kama mbwekoo

mahojiano na mwenye nyumba iliyoshika moto na John Banda mwandishi wa rasi fm yakiendelea.

wafanyakazi wa kikosi cha zimamoto wakifanya kazi yao kuuzima moto uliosababishwa na itilafu ya umeme mkoani dodoma.

wakazi wa nyumba iliyoungua na moto wakijitahidi kuokoa baadhi ya vitu.

No comments:

Post a Comment