zipo sikukuu za aina nyingi duniani, lakini kuna nyingine ambazo hazijulikani kabisa na pengine huwa zina maana sana kwa watu lakini ni jambo tofauti kwamba serikali za nchi husika hazitoi ushirikiano kwa wahusika.
kwa mfano leo hii kuna sikukuu ambayo ni dhahiri kwamba wengi wetu hatuifahamu hasa inakujaje kujaje kuwa maalum na ni maalum kwa kina nani? jibu ni kwa binadamu wote, je! wangapi hasa wanaihadhimisha na kina nani hasa wanajua maana yake?
malengo ya sikukuu ya leo hulenga kuonesha upendo na ushirikiano hasa katika kutoa misaada kwa wahitaji na imekuwepo tangu mwaka 2009 august 9 hasa ikiangaliwa heshima kwa watoa misaada wa UN baada ya shambulio la 2003 huko iraq lililowaua wafanyakazi 22 na mwakilishi mmoja wa wafanyakazi hao aliyejulikana kwa jina la sergio vieira de mello.
“TUNAJUA KWAMBA MAHITAJI YA KIBINADAMU YANAONGEZEKA, NA KAMA SISI TUNAKUTANA NA MAHITAJI HAYO NI LAZIMA TUFANYE VITU VYA UTOFAUTI”
No comments:
Post a Comment